
Dk Biteko awataka wakuu wa wilaya, wakurugenzi kutatua kero za walimu
Geita. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaagiza wakurugenzi na wakuu wa wilaya nchini, kuanzisha utaratibu wa kukutana na walimu na kusikiliza changamoto zinazowakabili, badala ya kusubiri malalamiko hayo kufika ngazi za juu kwa utatuzi. Uamuzi wa Naibu Waziri Mkuu, umetokana na taarifa ya timu ya Kliniki ya Samia ya kusikiliza…