
Rais Samia aandika historia, kutunukiwa tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers’ kesho
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho, Jumanne, Februari 4, 2025 anatarajiwa kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kama kielelezo cha matokeo makubwa ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi kwa asilimia 80 nchini. Matokeo hayo yamepatikana chini ya uongozi wake, kutokana na ripoti ya utafiti wa demografia na afya ya mwaka…