M23 walivyosaini mkataba wa amani na kuugeuka-4

Katika matoleo yaliyopita, tulichunguza chimbuko la kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na athari zake zilizosababisha taharuki nchini humo.   Pia, tuliona baada ya juhudi za jumuiya ya kimataifa, jioni ya Desemba 12, 2013, DRC ilisaini mkataba wa amani na M23 uliolenga kuleta maridhiano, uthabiti na maendeleo eneo la mashariki…

Read More

Aziz KI wa Yanga Princess nje wiki nne

MSHAMBULIAJI wa Yanga Princess, Ariet Udong anayefananishwa na nyota wa Yanga, Aziz KI atakuwa nje ya uwanja kwa miezi minne akiuguza majeraha ya mguu. Nyota huyo mara ya mwisho kuonekana uwanjani ilikuwa Desemba 31 kwenye mzunguko wa nane wa Ligi akifunga mabao matatu dhidi ya Ceasiaa Queens ya Iringa. Akizungumza na Mwanaspoti, kocha wa Yanga…

Read More

Opah amfuata Singano Mexico | Mwanaspoti

NAHODHA wa timu ya Taifa ya wanawake ya Twiga Stars, Opah Clement amejiunga na FC Juarez ya Mexico anayochezea Mtanzania mwenzake, Julietha Singano. Ukiachana na Simba Queens alikopata mafanikio makubwa ya soka la wanawake, nyota huyo alichezea Kayseri Kadın ya Uturuki kwa mkopo 2022, msimu uliofuata akasajiliwa Besiktas ya nchi hiyo na 2023/24 akiichezea Henan…

Read More

Samia awaonya majaji, mahakimu wanaogeuka ‘miunguwatu’

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka majaji na mahakimu wa mahakama mbalimbali, kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao kwa mujibu wa makubaliano ya kisheria na kikatiba, badala ya kuwa miunguwatu. Amelifafanua neno miunguwatu, akilihusisha na binadamu wanaotekeleza wajibu wao kwa kujipa ukubwa unaofanana na ule wa Mwenyezi Mungu, jambo alilosema watumishi wa taasisi za haki…

Read More

M23 wanavyowavuruga viongozi Afrika | Mwananchi

Kufuatia kutekwa kwa Mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kundi la waasi la M23 wiki iliyopita, baadhi ya viongozi wa Afrika wameingia kwenye mvutano, huku vita hivyo vikihofia kuambukiza mataifa mengine. Kundi la M23 linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda limekuwa kwenye mapigano ya muda mrefu na Serikali ya DRC, ambapo…

Read More

Othman: Mabadiliko ni lazima, tupambane kuingia Ikulu 2025

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud, amesema mabadiliko ni lazima, hivyo amewataka wanachama, wafuasi na wananchi wanaokiunga mkono chama hicho kupambana katika uchaguzi mkuu ujao ili kuhakikisha wanakiweka madarakani na kuikomboa Zanzibar kutoka katika janga la umasikini. Amesema licha ya kufanyiwa vitimbwi katika chaguzi zilizopita, havijawakatisha tamaa, na kuwataka wanachama na wafuasi wake…

Read More

Mwabukusi: Kushirikiana na Serikali sio kulamba asali

Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema ushirikiano wa chama hicho na Serikali hauna maana kuwa amelamba asali, bali wanatekeleza wajibu wa kuwahudumia Watanzania. Kauli ya Mwabukusi inajibu mitazamo tofauti inayoibuliwa katika mitandao ya kijamii, baadhi wakikosoa hatua ya TLS kushirikiana na Serikali katika utoaji huduma za kisheria kupitia…

Read More