Morrison apewa programu maalumu KenGold

NYOTA mpya wa KenGold, Bernard Morrison ‘BM3’, huenda akakosa baadhi ya michezo ya kikosi hicho baada ya kupewa programu maalumu za mazoezi na kocha mpya wa timu hiyo, Mserbia Vladislav Heric, kabla ya kuungana na mastaa wenzake kikosini. Akizungumza na Mwanaspoti, daktari wa timu hiyo, Amina Iddy Turusa alikiri nyota huyo kupewa program maalumu za…

Read More

Clara Luvanga avunja rekodi yake Saudia

MSHAMBULIAJI wa Al Nassr inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Saudia, Clara Luvanga amevunja rekodi ya msimu uliopita wa kufunga mabao 12. Kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo wa timu hiyo ambayo kwa upande wa wanaume yupo staa wa Ureno Cristiano Ronaldo. Hadi sasa mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga amefunga hat-trick mbili — moja dhidi ya…

Read More

Simon Msuva ataja siri ya ubora wake

WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga katika klabu ya Al Talaba ya Iraq amesema uzoefu alioupata kucheza ligi mbalimbali Afrika unamfanya kuwa bora kila siku. Ukiachana na kucheza Yanga, Al Talaba inakuwa timu ya sita kwa Msuva kuichezea nje ya Tanzania baada ya kuitumikia Difaa El Jadida ya Morocco aliyojiunga nayo Julai 2017, kisha Wydad…

Read More

Huyu anamkaba Gomez Wydad AC

WIKI iliyopita Singida Black Stars iliripoti kuwa imemuuza mshambuliaji wake Mtanzania Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kwenda Wydad AC ya Morocco. Kwenye eneo la ushambuliaji, Gomez atakutana na upinzani kutoka kwa Mohamed Rayhi, raia wa Uholanzi ambaye ni chaguo la kwanza la kocha Rulani Mokwena. Rayhi ndiye kinara wa ufungaji kwenye ligi hiyo maarufu kama Botola Pro…

Read More

Mlandizi kujitutumua kwa JKT Queens?

BAADA ya kucheza mechi 11 bila ushindi wowote, Mlandizi Queens wiki hii itakuwa ugenini kujiuliza mbele ya JKT Queens. Hadi sasa ndio timu iliyopo kwenye nafasi mbaya za kushuka daraja msimu huu ikipata sare moja huku kwenye mechi 11 nyingine ikigawa pointi tu. Timu hizo zinakutana JKT ikiwa ya pili kwenye msimamo kwa pointi 26…

Read More

Aziz KI wa Yanga SC Princess nje wiki nne

MSHAMBULIAJI wa Yanga Princess, Ariet Udong anayefananishwa na nyota wa Yanga, Aziz KI atakuwa nje ya uwanja kwa miezi minne akiuguza majeraha ya mguu. Nyota huyo mara ya mwisho kuonekana uwanjani ilikuwa Desemba 31 kwenye mzunguko wa nane wa Ligi akifunga mabao matatu dhidi ya Ceasiaa Queens ya Iringa. Akizungumza na Mwanaspoti, kocha wa Yanga…

Read More

Trump aigeukia Afrika Kusini, kuinyima misaada

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema bila kutaja ushahidi, kwamba “tabaka fulani za watu” nchini Afrika Kusini walikuwa wakitendewa ‘vibaya sana’ na kwamba atakata ufadhili wa nchi hiyo hadi suala hilo litakapochunguzwa. Trump amebainisha hilo jana, Februari 2, 2025 katika mtandao wake wa Truth akisema kuwa baadhi ya wananchi amekuwa wakifanyiwa ukatili. “Afrika Kusini inanyakua…

Read More

Mipango ya Ramovic yammaliza Gamondi

MOTO wa kocha Sead Ramovic bado unaendelea kuwachoma wapinzani wa Yanga katika Ligi Kuu Bara baada ya Gusa Achia Twende Kwao kumbeba tangu ajiunge na timu hiyo kutoka TS Galaxy ya Afrika Kusini, akimfunika hadi mtangulizi wake, Miguel Gamondi. Kocha huyo Mjerumani, ameupindua ufalme wa Gamondi baada ya Gusa Achia yake kumlipa katika mechi sita…

Read More