
Jina la Fei Toto bado tishio, atabiriwa makubwa
Staa wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, amekiri kukunwa na kiwango kikubwa cha soka alichonacho kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ aliyedai kama akikaza kidogo tu anaweza kufika mbali zaidi. Staa huyo aliyeanza soka jijini Arusha alikozaliwa na kukulia akiitumikia AFC Arusha kabla ya Simba kumbeba na baadae kutua Yanga,…