
Kefa apewa Simba, Kyando apigwa chini
KAMATI ya waamuzi nchini imefanya mabadiliko ya mwamuzi wa kati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tabora United na Simba. Katika mchezo huo unaochezwa leo Februari 2, awali mwamuzi wa kati alipangwa kuchezesha, Amina Kyando kutoka Morogoro, lakini baada ya muda mfupi amepigwa chini na nafasi yake kuchuliwa na Kefa Kyombo wa Mbeya…