
Madina, Vicky mguu sawa Sauzi
MADINA Idd na Vicky Elias wamedai zoezi ya kuzisoma changamoto za viwanja vya Leopards Creek, Mpumalanga, Afrika Kusini linaendelea vyema kabla ya michuano ya gofu ya wanawake wa Afrika kuanza rasmi kuesho kutwa katika viwanja hivyo. Madina kutoka klabu ya Arusha Gymkhana na Vicky Elias kutoka Dar Gymkhana ndiyo Watanzania pekee katika michuano hii inaoshirikiua…