
Nyota wa zamani Simba, Mtibwa afariki dunia
FAMILIA ya soka nchini imepata pigo jingine baada ya nyota wa zamani wa Nazareth ya Njombe, Simba, Mtibwa Sugar na Rayon Sports ya Rwanda, Geoffrey Mhando kufariki dunia asubuhi ya leo Jumapili, ikiwa ni siku chache tangu Mmiliki wa Kituo cha Alliance, James Bwire kuiaga dunia jijini Mwanza. Bwire aliyekumbwa na mauti Januari 25 anatarajiwa…