
Suzan Lyimo na kilio cha wazee kuachiwa wajukuu
Miaka ya hivi karibuni bibi na babu wamekuwa wakikwepa kuishi na wajukuu, huku baadhi ya sababu zikitajwa ni maisha kuwa magumu, lakini wenye watoto wao kushindwa kuwagharimia matumizi yao. Jambo hili linaungwa mkono na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha), Susan Lyimo, ambaye hivi karibuni alifanya mahojiano na Mwananchi na kuzungumzia mambo mbalimbali…