
RC Mtanda awakana polisi kukamatwa makada Chadema
Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema hakutoa amri ya kukamatwa makada 20 wa Chadema waliokwenda kuonana naye kupata mrejesho wa uchunguzi wa kupotea kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho (Bavicha), Amani Manengelo. Makada hao wa Chadema wamekamatwa kwa muda leo Jumatano, Februari 26, 2025 saa tatu asubuhi wakati wakielekea…