
Mashambulizi ya Russia yaua wanne, yaharibu miundombinu Ukraine
Kiev. Jeshi la Russia limefanya mashambulizi mfululizo usiku wa kuamkia leo yaliyolenga miundombinu ya gesi iliyopo maeneo mbalimbali nchini Ukraine, Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema. Shirika la Associated Press limeripoti kuwa katika taarifa yake kwa umma leo Jumamosi, Februari Mosi, 2025, wizara hiyo imesema mashambulizi hayo yamefanyika usiku kucha maeneo mbalimbali ya mkoa wa…