
Yanga yarejea kileleni, ikiipiga Kagera Sugar 4-0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar na kuishusha Simba. Kurejea kwa Yanga kileleni kumetokana na kufikisha pointi 42, zikiwa mbili zaidi ya Simba yenye 40 ambayo kesho itacheza dhidi ya Tabora United kwenye Uwanja wa Ali…