
Aliyehukumiwa kwa kumuua baba yake mzazi aachiwa huru
Arusha. Mahakama ya Rufani imetengua adhabu ya kifo aliyokuwa amehukumiwa Seni Lisesi, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua baba yake mzazi, Gindu Kashinje. Awali Mei 14, 2021, Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga ilimhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kumkuta na hatia ya kumuua baba yake. Mahakama ya rufani imebatilisha adhabu hiyo baada…