
UELEWA WA WANANCHI KUHUSU KODI WAONGEZA MAPATO
Na. Peter Haule, WF, Dodoma Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu wa kulipa kodi, utoaji wa risiti za mauzo na ununuzi wa bidhaa na huduma ikiwemo ya kutoa elimu ya kodi. Mhe. Chande ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali…