
Tani 400,000 za korosho zauzwa kupitia stakabadhi ghalani
Dodoma. Wakulima wa korosho wamepata Sh1.4 trilioni baada ya kuuza tani 408,687.7 katika mfumo wa stakabadhi ghalani katika msimu wa kilimo wa mwaka 2024/2025. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo ameyasema hayo leo Ijumaa Januari 31, 2025, wakati wa uzinduzi wa mfumo wa usimamizi wa ghala kupitia CCTV wa Bodi ya Usimamizi wa…