
Yanga ilivyorudi kwa Fei Toto
DIRISHA la usajili likiwa limeshafungwa katika ligi za Tanzania, maisha ya soka yanaendelea, kwani kiungo nyota wa ushambuliaji pale Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameendelea kutikisa anga za ndani na nje ya nchi. Kinachoelezwa ni kwamba, mchezaji huyo aliyewahi kukipiga Singida United na Yanga, mambo yanaendelea kwenda kwa kasi sana kuhusiana na maisha yake….