
Mtanzania ashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha straika Vipers
BAADA ya kifo cha mshambuliaji wa Nigeria, Abubakar Lawal anayeichezea Klabu ya Vipers ya Uganda, Mtanzania Naima Omary anahusishwa na tukio hilo, lililotokea asubuhi ya Jumatatu ya Februari 24, mwaka huu na kuzua sintofahamu kubwa. Kifo cha mshambuliaji huyo kimeibua utata na sintofahamu kutokana na taarifa tofauti ambazo zimekuwa zikitolewa juu ya chanzo chake. Moja…