
MKUTANO WA JPCC KUJADILI USHIRIKIANO KATIKA NYANJA ZA KIMKAKATI WAANZA NCHINI MALAWI
Maafisa waandamizi wa Tanzania na Malawi wamekutana jijini Lilongwe, Malawi, katika kikao cha sita cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPCC), kujadili masuala ya kimkakati yanayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kijamii na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili. Kikao hicho, kilichoongozwa na wenyeviti wenza, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje…