
Kilimo cha kutegemea mvua chaathiri umwagiliaji
Unguja. Serikali imekiri mpaka sasa wanatumia kilimo cha kutegemea mvua za msimu na kuathiri uzalishaji wa kilimo. Hata hivyo, Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo inaendelea na jitihada za kuongeza ukubwa wa maeneo ya kilimo cha umwagiliaji. Hayo yamesemwa na waziri wa wizara hiyo, Shamata Shaame Khamis leo Jumatano Februari 26,205 katika mkutano wa…