Umuhimu wa elimu kudhibiti taka za kielektroniki -3

Dar es Salaam. Wakati wananchi, wadau na viongozi wa mitaa wakionesha changamoto iliyopo kwenye udhibiti wa taka za kielektroniki, viongozi wa halmashauri na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wametaja njia ya kuzishughulikia. Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafirishaji wa Manispaa ya Ubungo, Lawi Bernard anasema wananchi…

Read More

Siri nyuma ya misamaha ya Rais kwa January, Nape

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuamua ‘kumrudisha kwake’ Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, baada ya kumwengua kwenye baraza lake la mawaziri, baadhi ya wachambuzi wameielezea hatua hiyo kama njia ya kuleta maridhiano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu. Mbali na maoni hayo, ingia toka ya mwanasiasa huyo ndani ya…

Read More

KONA YA FYATU MFYATUZI: No reforms, no elections ilhali tushageuzwa, kuchakachuliwa!

Mjini kuna stori ya no reforms no elections, kwa Kisambaa, hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi. Kwanza, sijui kama mafyatu waliofyatuliwa na shida wanaweza kufyatuka wakawafyatua wawafyatuao. Wapo wanaosema eti mafyatu watinge mitaani na kukinukisha! Loo! Mbona mwaota mchana! Mnategemea mafyatu waliofyatuliwa wakafyata wafyatuke watekwe na kupotezwa? Nani afyatuke afyatuliwe shaba kama Tunda Lishe? Waliokwishatekwa, kuteswa na…

Read More

Rekodi yamtesa Fadlu Simba | Mwanaspoti

Kocha wa Simba Fadlu Davids amesema mechi mbili zijazo zinaweza kutoa picha halisi ya ubingwa kwa timu yake msimu huu. Simba ilitoka sare ya mabao 2-2 na Azam FC juzi na kuanza kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa huo msimu huu kwa kuwa ikishinda kiporo chake itakuwa nyuma ya Yanga kwa tofauti ya pointi moja. Akizungumza…

Read More

Siri imefichuka… Hapa ndiyo jeuri ya Yanga ilipo

KUNA kitu Yanga inakifanya kwa sasa, ikipambana kuhakikisha kwamba inaikamata rekodi ya Simba ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara nne mfululizo katika miaka ya karibuni, kabla haujahamia Jangwani kwa misimu mitatu iliyopita. Kazi kubwa inafanyika katika kipindi ambacho benchi la ufundi la timu hiyo likiwa chini ya kocha mpya, Hamdi Miloud, lakini haijaleta…

Read More

RAIS DK.SAMIA HAUNA DENI NA WANA TANGA, “MITANO TENA”

Na Mwandishi Wetu RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan huna deni na watu wa Mkoa wa Tanga! Hivyo ndivyo tunaweza kuelezea kutokana na kasi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na Rais Samia katika mkoa huo kupitia sekta mbalimbali. Kasi hiyo ya maendeleo mbali ya kuleta faraja kwa wana Tanga pia imefanikisha kuwaondolewa kwa changamoto ambazo awali wananchi walikuwa…

Read More