Ubunge Arusha Gambo, Makonda kinawaka

Dar es Salaam. Joto la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 limeendelea kupanda jijini Arusha ambapo Paul Makonda na Mrisho Gambo wanatajwa kuwa katika mvutano wa kuwania ubunge. Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Gambo, mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wamekuwa kwenye mvutano wa hapa na pale katika siku…

Read More

Biteko azipa maelekezo taasisi za fedha nchini

Kahama. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amezitaka taasisi za fedha nchini, hususan benki, kuwekeza kwa wananchi na wafanyabiashara wadogo wanaohitaji huduma za kibenki ili waweze kukua kiuchumi, badala ya kujikita kwa wafanyabiashara ambao wamefanikiwa. Biteko, amesema hayo leo, Februari 25, 2025, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, wakati wa uzinduzi wa Benki…

Read More

Taasisi za fedha zatakiwa kuwekeza kwa wafanyabiashara wadogo

Kahama. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amezitaka taasisi za fedha nchini, hususan benki, kuwekeza kwa wananchi na wafanyabiashara wadogo wanaohitaji huduma za kibenki ili waweze kukua kiuchumi, badala ya kujikita kwa wafanyabiashara ambao wamefanikiwa. Biteko, amesema hayo leo, Februari 25, 2025, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, wakati wa uzinduzi wa Benki…

Read More

Angalizo jipya uwepo mkali kwa siku tano, Dar imo

Dar es Salaam. Kwa mara nyingine Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa upepo mkali na mawimbi makubwa katika pwani ya kaskazini mwa Bahari ya Hindi. Kwa takribani wiki moja sasa TMA imekuwa ikitoa angalizo kuhusu hali hiyo ikieleza kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani.   Kwa mujibu wa taarifa…

Read More

Bei vifaa vya ujenzi juu licha ya viwanda kuongezeka

Dar es Salaam. Licha ya ongezeko la uzalishaji katika vifaa vya ujenzi nchini, watumiaji hawaoni faida kwa kuwa bei za bidhaa hizo bado iko juu, hivyo kusababisha wenye nyumba kuongeza gharama za upangishaji. Kwa miaka 10 iliyopita, takwimu rasmi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara zinaonyesha uzalishaji wa saruji umeongezeka zaidi ya mara mbili kutoka…

Read More

Maajabu kijana wa Kitanzania aliyebuni mfumo wa AI

Dar es Salaam. Wengi wanaoitaja Tanzania kuwa ina utajiri wa rasilimali, huorodhesha  vitu kama vile, ardhi, vito vya thamani, uoto wa asili na vinginevyo. Wanachosahau  ni kuwa nchi hiyo kubwa zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki, ina rasilimali watu wanaokuna vichwa vyao barabara. Katika orodha hiyo, yumo kijana Noel Sebastian (24) mkazi wa Gongolamboto, Dar es…

Read More