
Sababu za Tanzania kuwa kivutio cha ufadhili kwa ‘Startups’
Dar es Salaam. Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepata mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa biashara changa bunifu (startup), ikishuhudia ongezeko la ufadhili na kuibuka kwa wajasiriamali wabunifu. Kwa mujibu wa ripoti ya Africa: The Big Deal, startups za Tanzania zimekusanya karibu dola milioni 300 (Sh750 bilioni) tangu mwaka 2019, na kuifanya nchi kuwa…