Mwili wa mwandishi aliyefariki ziara ya CCM wazikwa, mama azimia

Mbeya. Mama mzazi wa mwandishi Furaha Simchimba, aliyefariki dunia katika ajali iliyoua wanne, Yusta Mwaisakila amejikuta akipoteza fahamu kwa muda kwenye mazishi ya mwanaye, huku vilio na simanzi vikitawala wakati wa kumpumzisha marehemu huyo. Simchimba ni miongoni mwa watu  wanne waliofariki dunia Februari 25 katika ajali iliyohusisha gari la Serikali na basi la Kampuni ya…

Read More

Miradi 10 yapata ruzuku ya utafiti kuondoa umaskini

Dar es Salaam. Miradi 10 ya utafiti nchini Tanzania imepata   ruzuku ya  utafiti chini ya mfuko wa DEEP Challenge Fund unaotoa fedha kwa watafiti wanaokusanya data, taarifa na takwimu za hali ya umaskini na kutoa njia za kukabiliana na hali hiyo. Mfuko huu uliozinduliwa Machi 2024 unatekelezwa na shirika la Oxford Policy Management Tanzania, ukilenga…

Read More

Yanga yaendeleza dozi, yaifyatua Pamba Jiji

YANGA imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi za Ligi Kuu Bara baada ya leo jioni kutoa kichapo cha mabao 3-0 ugenini mbele ya Pamba Jiji kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Katika mchezo huo wa raundi ya 22, Yanga imepata ushindi kupitia kwa wachezaji wa kigeni, la kwanza likifungwa dakika ya 28 na beki…

Read More

Amissi Tambwe wala hajakurupuka | Mwanaspoti

SIKU chache baada ya kutangazwa kuwa meneja wa Singida Black Stars, straika nyota wa zamani wa Simba na Yanga aliyeacha alama katika Ligi Kuu, Amissi Tambwe amevunja ukimya na kuteta na Mwanaspoti, akisema amefanya uamuzi sahihi kukubali ofa hiyo na wala hakukurupuka tu. Tambwe alitua nchini kwa mara ya kwanza Julai, 2013 na alisaini mkataba…

Read More

Tabora United mwendo mdundo | Mwanaspoti

BAO la kujifunga la dakika ya 36 lililowekwa kimiani na beki Dissan Galiwango wa Dodoma Jiji katika harakati za kuokoa krosi na Nelson Munganga wa Tabora United, imeiwezesha nyuki wa Tabora kuvuna pointi tatu kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Bao hilo lililoifanya Tabora kufikisha pointi 37 na kuendelea…

Read More

Rais Samia na ndoto ya kuifufua Tanga ya viwanda, ajira

Tanga. Rais Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa matamanio yake ni kuurejesha Mkoa wa Tanga kuwa wa viwanda, kama ulivyowahi kuwa kabla. Katika kulifanikisha hilo, amesema tayari Serikali imeanza kuchukua hatua za kupanua viwanda vilivyopo na kujenga vipya ili kutoa fursa za ajira kwa wananchi. Kauli hiyo ya Rais Samia, inajibu ombi la Mbunge wa…

Read More

Kumekucha CCM Mkwakwani | Mwananchi

Tanga. Ikiwa leo ndiyo mara ya kwanza unafika Tanga, usingeacha kujiuliza kwa msemo maarufu wa ‘Tanga ku nani?’ Sio mambo ya mahaba, bali ni mishemishe na pilikapilika za wananchi wakipita huku na kule uelekeo ni mmoja tu, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani. Katika uwanja huo, kunafanyika mkutano unaohitimisha ziara ya siku sita ya Rais Samia…

Read More