
Mchome atoa saa 48 Chadema, amtaja Lissu na Mnyika
Arusha. Sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi ulioufanywa na Tundu Lissu wa watendaji wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wajumbe wa kamati kuu limeendelea kuibua mjadala, baada ya muhusika kuibuka akitaka malalamiko yake yajibiwe na si vinginevyo. Barua hiyo ni ya kada wake, Lembrus Mchome, aliyoiandika kwenda kwa…