Piga Mzigo wa Maana na Meridianbet Leo

LEO hii siku ya Jumanne ni bahati yako ya wewe kuondoka na kitita cha pesa nyingi kwa dau lako la uhakika. Ingia mzigoni na usuke jamvi lako la ushindi hapa sasa. Ligi kuu ya Uingereza, EPL leo hii kuna mechi za kukupatia mkwanja wa maana ambapo Brighton baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii…

Read More

4R Za Rais Samia Zatikisa Geneva – Global Publishers

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), amesema kuwa Tanzania imeendelea kuweka kipaumbele katika uendelezaji na ulinzi wa Haki za Binadamu katika utekelezaji wa shughuli za Serikali. Akizungumza wakati akiiwakilisha Tanzania katika Kikao cha 58 cha Haki za Binadamu kinachofanyika Geneva, Uswisi, Waziri Ndumbaro amesema kuwa kupitia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa…

Read More

Hizi ndio ‘couple’ zilizovunja rekodi ya dunia kwa kuishi muda mrefu

Ndoa ni taasisi ya kijamii inayounganisha watu wawili katika uhusiano wa karibu unaotambulika kisheria na kijamii, pia hutarajiwa kudumu kwa muda mrefu hadi kifo kitakapowatenganisha. Hata hivyo siyo wote hufanikiwa kutimiza agano hilo takatifu kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya ndoa huvunjika baada ya kupita muda fulani. Hata hivyo, imekuwa tofauti kwa wanaondoa hawa ambao…

Read More

MILIONEA MPYA MJINI APATIKANA KWA NGUVU YA AVIATOR

  KWA nguvu ya Aviator milionea mpya mjini amepatikana ambapo mshindi ameweza kupiga mkwanja wa kiasi cha shilingi milioni 44, Ni wazi mchezo wa Aviator umegeuka kua mchezo pendwa wa kasino na ambao unaweza kubadilisha maisha ya watu. Mteja huyo anayefahamika kwa utambulisho wa HN amefanikiwa kushinda kiasi hicho cha pesa kwa kutumia dau dogo…

Read More

Sababu ya kupata hasira kipindi cha hedhi

Dar es Salaam. Tatizo la mabadiliko ya kihisia kipindi cha hedhi, ni changamoto inayowakumba baadhi ya wanawake. Utafiti wa jarida la The Lancet Psychiatry mwaka 2020 ulionyesha mabadiliko kama wasiwasi, huzuni, na hasira, ni matokeo ya usawa wa homoni katika mwili wa mwanamke.  Hali hii inayojulikana kwa jina la ‘Pre-menstrual Syndrome (PMS), inatokana na mabadiliko…

Read More

Wachungaji wanaotumia sauti kubwa kuhubiri hatarini

Dar es Salaam. Baadhi ya wahubiri wanapotekeleza majukumu yao ya kuhubiri neno la dini wamekuwa wakibadili sauti, huku wengine wakitumia nguvu kuzungumza. Watumishi hao wa Mungu hufanya hivyo kwa muda mrefu pasipo kujua iwapo kuna athari za kiafya wanazoweza kupata. Daktari bingwa wa koo katika Hospitali ya St Bernard, Daniel Massawe, anasema kubadilisha sauti kwa…

Read More

Utafiti: Zanzibar kuna popo 32,000

Unguja. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Uhifadhi wa popo (Bat Conservation International) ya mwaka 2020 umeonesha jumla ya popo 32,000 wanapatikana kisiwani hapa kati yao 7,560 wanapatikana bandari ya Wete. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shaame Khamis leo Jumanne  25,2025 katika Baraza la Wawakilishi wakati akijibu…

Read More

Kocha Azam: Simba bahati yao

SARE ya mabao 2-2 bado inaiumiza kichwa Simba ikiona kama inajipa wakati mgumu kuwania ubingwa wa Ligi Buu Bara, lakini kumbe Azam nao wanalia wakiamini Wekundu hao wana bahati na walitaka kuwamaliza kabisa katika mchezo uliopigwa jana, Jumatatu. Simba ikiwa nyumbani ililazimishwa sare dhidi ya Azam iliyoipunguza kasi kwenye harakati za kuwania ubingwa wa Ligi…

Read More