Twiga Stars ni jasho dakika 90

TIMU ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ kesho itashuka uwanjani ugenini dhidi ya Equatorial Guinea, katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 zitakazofanyika Morocco. Huu utakuwa mchezo wa pili baada ya ule wa kwanza Stars ikiwa nyumbani Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, chini ya Kocha Bakari Shime kushinda…

Read More

Rais Samia aahidi ujenzi shule za sayansi za wavulana

Kilindi. Baada ya kukamilisha ujenzi wa shule za sekondari za sayansi za wasichana, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanza ujenzi wa shule hizo kwa upande wa wavulana. Kauli hiyo ya Rais Samia inakuja, ikiwa tayari katika mikoa yote 26 shule hizo za wasichana zimejengwa kwa gharama ya Sh116 bilioni. Rais Samia ameeleza hayo…

Read More

Boma la zahanati lageuka pango la wabakaji

Shinyanga. Wakazi wa kata ya Kizumbi mkoani Shinyanga wamelalamikia kutokamilika kwa jengo la zahanati iliyoanzishwa na wananchi wa eneo hilo, hali iliyosababisha liwe pango la wahalifu. Jengo hilo ambalo ujenzi wake umesimama kwa takribani miaka 10 limegeuka eneo la kufanyia vitendo vya uhalifu ikiwamo ubakaji na kuhatarisha maisha ya wanawake na wasichana. Hayo yamebainishwa leo…

Read More

BoT yaikana LBL, maofisa wake kuchukuliwa hatua

Dar es Salaam. Benki kuu ya Tanzania (BoT) imesema haijawahi kufanya mazungumzo wala kutoa leseni ya kuruhusu kampuni ya Leo Beneath London (LBL) kufanya shughuli zake nchini kama taarifa za mitandaoni zinavyosema. BoT imetoa taarifa hiyo wakati tayari watu 38 wamekamatwa na Jeshi la Polisi kutoka maeneo tofauti nchini kwa kujihusisha na kampuni hiyo katika…

Read More

Kariakoo ya saa 24 yazinduliwa, vibaka na wezi waonywa

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya wafanyabiashara wakiwa na wasiwasi kuhusu hali ya usalama kuelekea ufanyaji biashara kwa saa 24 katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amewaonya vibaka kutothubutu kulifanya eneo hilo sehemu ya majaribio yao. Chalamila ameyasema hayo leo Jumatatu Februari 24, 2025 alipozindua shughuli za…

Read More

TPA yataja mkakati wa kukabiliana na foleni ya malori bandarini

Dodoma. Kilio cha wafanyabiashara na wamiliki wa malori kuhusu msongamano bandarini kimeiamsha Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ambayo imepanga mkakati maalumu ya kukabiliana na changamoto hiyo. Msongamano huo unaolalamikiwa ni unaosababishwa na ongezeko la idadi ya makontena na bidhaa zinazohudumiwa bandarini. Kwa mujibu wa TPA miongoni mwa mikakati hiyo ni ujenzi wa kituo…

Read More

Magoti, janga linalotishia soka la wanawake Tanzania

DIRA ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ni kuhakikisha inatengeneza mifumo ya kuvutia zaidi ya wanasoka wa kike milioni moja kucheza katika ligi za ngazi mbalimbali hapa nchini. Ni lengo zuri hasa ukizingatia hatua za maendeleo zilizofikiwa na timu za soka za taifa za wanawake na klabu katika kufuzu na kushiriki michuano mbalimbali…

Read More