
Sababu Wazanzibar kutonufaika na uwekezaji, miradi ya utalii
Unguja. Licha ya msisitizo kwa wawekezaji kuhakikisha wanawaajiri wazawa katika miradi ya uwekezaji, bado wananchi kisiwani hapa wanahisi kutonufaika na fursa zinazotajwa huku Serikali ikisema tatizo ni viwango. Akizungumza katika Baraza la Wawakilishi leo Jumanne Februari 25, 2025, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mudrick Ramadhani Soraga amesema wazawa hawajanufaika na fursa za…