
Mashahidi waeleza walivyobaini mabaki ya mwili wa Josephine
Moshi. Mashahidi wa Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya kukusudia inayomkabili, Josephine Mngara (30), aliyeuawa kwa kuteketezwa kwa moto, wameieleza Mahakama namna walivyobaini uwepo wa mabaki ya mwanadamu. Mbali na mashahidi hao, daktari aliyeuchunguza mwili huo, ameeleza ulikuwa ni mkaa isipokuwa sehemu ya nyuma ya kichwa, mapafu na moyo, misuli ya makalio na…