
Majeraha yamtibulia Yacouba Songne | Mwanaspoti
MSHAMBULIAJI nyota wa Tabora United, Yacouba Sogne huenda akakosa mechi zilizosalia za Ligi Kuu Bara kutokana na kusumbuliwa na majeraha yaliyomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu, kwani hivi sasa yupo Morocco kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji. Yacouba aliyetua Tabora msimu huu akitokea AS Arta Solar ya Djibouti, ni wazi kuwa hajaanza kazi vizuri msimu…