
Ujumbe wa Lissu kwa wagombea udiwani, ubunge na Urais Chadema
Dar es Salaam. Wakati vyama vya siasa vikiendelea na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametoa mwelekeo na msimamo kwa wanachama wanaotaka kuwania udiwani, ubunge na urais akiwamo yeye. Amesema kwa sasa kilichopo mbele yao ni Azimio la ‘No reform no election’ (bila mabadiliko…