MKUU WA CHUO UDOM AKUTANA NA MENEJIMENTI

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Mhe. Stergomena Lawrence Tax (Mb), ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, leo ametembelea Chuo Kikuu cha Dodoma, na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Chuo. Mhe. Stergomena alipokelewa na mwenyeji wake Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka, aliyeambatana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la…

Read More

ALAF yafanya kweli Kilimanjaro International Marathon

  KAMPUNI ya ALAF Limited imeahidi kuendelea kuwawezesha wafanyakazi wake kuimarisha afya ya mwili na akili ili kuzidisha ufanisi wao wawapo kazini Meneja Rasilimali Watu wa ALAF Jumbe Onjero ameeleza hayo hivi karibunj wakati akitoa taarifa kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,. Dkt.Doto Biteko alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye Maonyesho ya The…

Read More

Simba, Azam FC hakuna mbabe Kwa Mkapa

MASHABIKI wa Simba walikuwa wakihesabu dakika ili kuanza kushangilia ushindi wa 17 katika Ligi Kuu Bara, baada ya chama lao kuongoza kwa mabao 2-1 hadi dakika ya 87, lakini mambo yalitibuka sekunde chache tu baada ya mtokea benchi, Zidane Sereri kuchomoa bao katika Dabi ya Mzizima. Zidane aliyeingia uwanjani kumpokea Idd Seleman ‘Nado’ alifunga bao…

Read More

Profesa Kitila atambua mchango wa waokota taka

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema waokota taka wana mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa na wana sehemu yao kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Profesa Kitila ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema kazi wanayoifanya waokota taka rejeleshi ni kuokoa kizazi cha…

Read More

Umuhimu wa sayansi kukuza uchumi wa buluu

Dar es Salaam. Uwekezaji katika tafiti za kisayansi, umeelezwa utasaidia kuchangia usimamizi na utekelezaji wa sera katika kuboresha na kukuza sekta ya uchumi wa buluu. Wakati huohuo kuunganisha watafiti, wajasiriamali na watunga sera katika ushirikiano wa sayansi na biashara kunatajwa kutoa suluhisho linaloweza kupanuliwa kwa changamoto zilizopo kwa sasa. Hayo yameelezwa leo Jumatatu, Februari 24,…

Read More

Wajasiriamali wapewa siri ya kulinda biashara zao

Dar es Salaam. Wajasiriamali wadogo nchini wametakiwa kusimamia vyanzo yao vya mapato na kujihusisha na mikopo endelevu kutoka kwenye taasisi za kifedha zinazoaminika ili kulinda biashara zao. Hayo yameelezwa wakati wa hitimisho la mafunzo maalumu ya wajasiriamali vijana katika kampeni maalumu ya Going Beyond iliyoandaliwa na taasisi ya Her initiative ambapo, mtalaamu wa masuala ya…

Read More