
Makonda aagiza uchunguzi jaribio la wizi wa Sh250 milioni Jiji la Arusha
Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaagiza viongozi wa Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala, kufanya uchunguzi wa tuhuma za jaribio la wizi wa Sh252 milioni zinazodaiwa kutaka kuchotwa kwenye akaunti ya Serikali kwa kigezo cha kwenda kununua eneo la kujenga shule kata ya Muriet….