
Mahakama yamng’ang’ania baba aliyembaka binti yake
Arusha. Mahakama ya Rufani, imemng’ang’ania mkazi wa Kijiji cha Upendo, wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya (jina linahifadhiwa), aliyembaka binti yake wa kumzaa aliyekuwa na umri wa miaka 12, baada ya kurudi nyumbani akiwa amelewa ikisisitiza kifungo cha miaka 30 jela alichopewa ni sahihi. Tukio hilo lilitokea kijijini humo Desemba 24,2019 ambapo mwanaume huyo aliyekuwa ametengana…