
Mchengerwa asimulia saa chache kabla ya kifo cha baba yake
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesimulia dakika za mwisho za uhai wa baba yake mzazi, Omary Mchengerwa huku akisema: “Nitamkumbuka baba kwa ucha Mungu wake na uzalendo mkubwa aliokuwa nao.” Mzee Mchengerwa amefikwa na mauti alfajiri ya leo Jumatatu, Februari 24,…