
MUHAS KUMUENZI HAYATI ALI HASSAN MWINYI KUPITIA KONGAMANO MAALUUM
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimeandaa Kongamano maalum kwa ajili ya kumuenzi aliyekuwa Mkuu wake wa Kwanza chuo hicho, Rais wa Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi. Kongamano hilo la siku tatu litakalofanyika katika Kituo cha Umahiri wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa ya Damu, Kampasi…