
Abiria aliyekuwa akisafiri Mwanza- Dar afariki njiani
Morogoro. Abiria Godfrey David Mbaga aliyekuwa akisafiri kutoka mkoani Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam kwa basi la Kampuni ya Ally’s ameshindwa kufika alilokuwa anakwenda baada ya kufariki dunia eneo la Mikese, mkoani Morogoro. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu, Februari 24, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema tukio hilo…