Zelensky asema yuko tayari kujiuzulu, ataja sababu mbili

Kyiv. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa yuko tayari kujiuzulu wadhifa huo,  ikiwa uamuzi huo utarejesha amani nchini mwake. Shirika la Associated Press limeripoti kuwa, Zelensky pia amesema kuwa yuko tayari kung’atuka endapo tu Ukraine itakubaliwa kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (Nato). Alipoulizwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari…

Read More

ETDCO yaibuka mkandarasi bora tuzo za Zica

Dar es Salaam. Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika kipengele cha mkandarasi bora wa ujenzi wa miundombinu ya umeme, katika Tuzo za Zanzibar International Construction Awards (ZICA), zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, huko Zanzibar. Akizungumza wakati akikabidhi tuzo kwa washindi jana Jumamosi…

Read More

Taka za kielektroniki janga lijalo -1

Dar es Salaam. Je, umewahi kuona vituo maalumu vya kukusanya taka za kielektroniki mtaani kwako? Licha ya Sheria ya Kanuni ya Usimamizi wa Mazingira (Udhibiti na Usimamizi wa Taka za Vifaa vya Umeme na Elektroniki) ya 2021 kifungu cha 12 (2) kuzitaka mamlaka za Serikali za mitaa kuhakikisha taka za vifaa vya kielektroniki zinadhibitiwa ipasavyo, hali…

Read More

Malcolm X alivyotekeleza maono ya Mwalimu Nyerere Marekani

Februari 21, 1965, saa 9:30 alasiri, New York, Marekani, taarifa kutoka Hospitali ya Columbia Presbyterian, ilikuwa yenye mguso mkubwa wa simanzi. Kiongozi wa kijamii, Malcom X au el-Hajj Malik el-Shabazz, alikuwa amekamilisha tarakimu zake duniani. Miaka 60 imetimia tangu nafsi ya X ilipoagana na mwili. Wanaharakati na viongozi wa kijamii wanaibuka kizazi kwa kizazi. Pamoja…

Read More