
Marufuku ya vifaa vya kielektroniki kutoka mataifa mengine yaja
Arusha. Serikali imetangaza mpango wa kupiga marufuku uingizaji wa vifaa vya kielektroniki kutoka nje ya nchi ili kuhamasisha uzalishaji wa ndani na kuvutia wawekezaji katika sekta ya teknolojia. Hatua hiyo inalenga kuimarisha viwanda vya ndani na kupanua soko la vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), ikiwemo simu za mkononi, kompyuta mpakato, na vifaa…