
RAIS MWINYI AFUNGUA MSIKITI MPYA KIJIJI CHA MANGAPWANI,APEWA JINA LA MSIKITI WA MZEE ALI HASSAN MWINYI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua Msikiti Mpya uliojenga na Zakaria na Familia yake katika Kijiji cha Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja na kupewa Jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, ufunhuzi huo uliyofanyika leo 23-2-2025, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma…