
WANANCHI LINDI WAENDELEA KUNUFAIKA NA ZIARA YA KATA KWA KATA YA MKUU WA WILAYA
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe Victoria Mwanziva anaendelea na ziara maalum ya kata kwa kata kwa malengo ya ukaguzi wa miradi sambamba na kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi. Aidha, Ziara hiyo imeifikia Kata ya Mipingo na kata ya Kitomanga katika Jimbo la Mchinga, Manispaa ya Lindi. DC Lindi amefanya ukaguzi na uwekaji…