Maumivu, upotezaji, mshikamano na tumaini la siku zijazo bora – maswala ya ulimwengu

“Ninajaribu kutolia, lakini siwezi kusaidia. Nimefurahi kuwa na tishu zilizopo, “anakubali Natalia Datchenko, mfanyikazi wa Kiukreni wa Wakala wa watoto wa UN, UNICEFakijitahidi kuzuia machozi yake wakati anasimulia milipuko ambayo iliamsha watu wengi wa Ukrainians miaka mitatu iliyopita, akielezea kuanza kwa mzozo. Pamoja na hisia za mshtuko na hasira, Bi Datchenko pia alihisi kuongezeka kwa…

Read More

Nyankumbu, Manungu Complex pamoto | Mwanaspoti

VIWANJA viwili vya Nyankumbu na Manungu Complex vinavyotumiwa na Geita Gold na Mtibwa Sugar vimekuwa ni mwiba mkali kwa wapinzani wanaotembelea hapo, kwani hadi sasa timu hizo hazijapoteza mchezo wowote nyumbani. Timu hizo zilizoshuka daraja msimu uliopita, zimeendelea kuonyesha umwamba zikicheza nyumbani, Geita Gold ikicheza michezo 11, imeshinda 10 na kutoka sare mmoja, huku safu…

Read More

Medo afutwa kazi Kagera Sugar

KLABU ya Kagera Sugar imechukua maamuzi magumu ya pili msimu huu kwa kuamua kumfuta kazi kocha mkuu wa timu, Mellis Medo. Kagera imechukua uamuzi huo baada ya kocha huyo kuiongoza katika mechi 14 za Ligi Kuu Bara tangu alipotangazwa kuwa kocha wa timu hiyo Oktoba 17, 2024. Medo aliyejiunga na Kagera akitokea Mtibwa Sugar ndani…

Read More

WATAALAM WA KISHERIA PWANI WAHAMASIWA KUTOA HAKI KWA WANANCHI KUPITIA MAMA SAMIA LEGAL AID

SERIKALI imewajumuisha wataalam zaidi ya 40 wa kisheria kutoka halmashauri tisa mkoani Pwani kwa lengo la kutoa elimu ya kisheria na utatuzi wa migogoro kwa wananchi, ili kurahisisha utendaji katika utekelezaji wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid), inayotarajiwa kuanza Februari 25, mwaka huu, mkoani humo. Akifungua mafunzo hayo,…

Read More

ETDC yaibuka mkandarasi bora tuzo za Zica

Dar es Salaam. Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika kipengele cha mkandarasi bora wa ujenzi wa miundombinu ya umeme, katika Tuzo za Zanzibar International Construction Awards (ZICA), zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, huko Zanzibar. Akizungumza wakati akikabidhi tuzo kwa washindi jana Jumamosi…

Read More

Sababu za Aisha Masaka kutocheza Twiga Stars

WIKIENDI iliyopita timu ya taifa ‘Twiga Stars’ ilipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ikweta Guinea ya kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) mwakani nchini Morocco, lakini mshambuliaji wa timu hiyo, Aisha Masaka hakuonekana uwanjani. Masaka anayekipiga Brighton & Hove Albion ya Uingereza hajaonekana uwanjani kwa takribani miezi miwili sasa, tangu…

Read More

Gomez aanza na sare Wydad, bao alilotupia lakataliwa

MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipig Wydad AC ya Morocco, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ ameanza mechi ya kwanza akiwa na uzi wa timu hiyo iliyotoka suluhu na COD Meknes katika mechi ya Ligi Kuu nchini humo maarufu Batola Pro. Gomez alitambulishwa na vigogo hao wa Afrika,  Januari 31 mwaka huu akitokea Fountain Gate aliyokuwa akiitumiki kwa mkopo kutoka…

Read More

Uledi ajitafuta upya Chama la Wana

NYOTA wa Stand United ‘Chama la Wana’, Adam Uledi amesema hajutii kitendo cha kutoka kuichezea Ligi Kuu Bara na kuhamia Championship na kwake kambi ni kokote katika kujitafuta upya ili kuendeleza kiwango chake. Mshambuliaji huyo alijiunga na timu hiyo ya mkoani Shinyanga baada ya kuachana na KenGold ya jijini Mbeya na hadi anaondoka alikuwa amechangia…

Read More