
Gabriel Geay ashinda Daegu Marathon
NYOTA wa kimataifa wa Riadha nchini, Gabriel Geay amefunika baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mbio za Daegu Marathon 2025 zilizofanyika leo Jumapili huko Korea Kusini. Geay ambaye ni mshindi wa pili wa Boston Marathon 2023, katika mbio hizo za leo alimshinda Shujaa wa Ethiopia aliyeng’ara Dubai Marathon 2024, Addisu Gobena kwa kutumia muda…