Mvua za masika kuhamisha waliojenga mabondeni Zanzibar

Unguja. Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ametoa wito kwa wananchi wanaoishi mabondeni kujiandaa kuhama mapema na kusafisha mazingira yanayowazunguka, na kutokuchafua miundombinu inayopitisha maji ya mvua. Pia, ameagiza mabaraza ya manispaa, mabaraza ya miji na halmashauri za wilaya kuhakikisha wanadumisha usafi katika kipindi chote kabla ya mvua na wakati wa mvua…

Read More

Lisu asema hana ubavu kuwania ubunge, Kingu atia neno

Singida. Wakati harakati za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zikiendelea maeneo mbalimbali nchini, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Lisu wa Wilaya ha Ikungi mkoani Singida amesema hana nia tena ya kuwania ubunge wa Singida Magharibi. Lisu ambaye mwaka 2020 alikuwa miongoni mwa makada wa chama hicho waliojitosa kwenye kura za maoni,…

Read More

Ugomvi wa kuku, wampeleka jela miaka minne

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemuhukumu Hamisi Jumanne (21) kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia. Jumanne ambaye ni mchunga mifugo na mkulima wa mbogamboga, alimuua Alfred Raymond, maarufu Mandela kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na kutokea ugomvi…

Read More

Mahakama yahalalisha uchaguzi mitaa mingine minne Kigoma

Kigoma. Mahakama ya Wilaya Kigoma imehalalisha uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa minne katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya kutupilia mbali mashauri ya kupinga uchaguzi katika mitaa hiyo uliofanyika Novemba 27, 2024. Hukumu hizo zimetolewa Alhamisi Februari 27, 2025 na mahakimu wawili tofauti waliosikiliza mashauri hayo kwa nyakati tofauti, baada ya kukataa madai…

Read More

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KUWASHA MWENGE YAMEPAMBA MOTO

MWENGE WA UHURU KUWASHA APRILI 2,2025 PWANI Na Khadija Kalili Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge amewatoa wito kwa wakaazi wa Mkoa wa Pwani kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kuwasha mwenge Kitaifa utakaofanyika Aprili 2 ,2025 uliopangwa kufanyika kwenye Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha. “Mtakumbuka kuwa wakati wa maadhimisho…

Read More

Ifahamu Hospitali ya Gemelli anayotibiwa Papa Francis

Dar es Salaam. Hospitali ya Gemelli ni moja ya hospitali kubwa na maarufu nchini Italia, iliyo mjini Roma, anayotibiwa Baba Mtakatifu, Papa Francis. Hospitali hiyo, Policlinico Universitario Agostino Gemelli, ni hospitali ya Kikatoliki, iliyofunguliwa miaka ya 1960. Ikiwa na vitanda zaidi ya 1,500 vya kulaza wagonjwa, Gemelli ni moja ya hospitali kubwa zaidi za kibinafsi…

Read More

MERIDIANBET YASHIRIKIANA NA JAMII KUPANDA MITI

Ikiwa leo hii ni Alhamisi wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameendelea na kurejesha kwenye jamii ambapo leo hii waliamua kuwafikiwa wakazi wa Mbezi Juu kwaajili ya zoezi zima la upandaji miti. Zoezi hili limefanyika kwa ushirikiano mkubwa na wafanyakazi wa Meridianbet, wananchi wa hapo Mbezi ambao waliwapokea Meridianbet kwa furaha kubwa zaidi wakiongozwa na kiongozi…

Read More

Coastal, Simba ugumu upo hapa!

SIMBA tayari ipo jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Bara utakaopigwa kesho dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, huku ukionekana kuwa mgumu kwa timu zote kutokana na rekodi zilizopo mbali na matokeo ya mchezo wa awali ulioisha kwa sare ya 2-2. Sababu kuu ya ugumu wa…

Read More

HAKIKISHA USIKU WA LEO UNASHINDA MKWANJA KUPITIA EARLY PAYOUT

Moja ya siku ambazo unaweza kutengeneza mkwanja wa kutosha ni leo kupitia michezo kadhaa ambayo itapigwa katika ligi mbalimbali ulaya, Huku pia chaguo la Early payout ikihakikisha unapata unapiga kitita cha kutosha. Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamekujia na chaguo linaloitwa Early payout ambapo unaweza kushinda mkeka pale tu timu zoako ulizochagua zitaongoza kwa…

Read More