
Fadlu atenga dakika 270 za ubingwa Simba
UBINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu huu ni kama kaa la moto, kwani timu zinazokimbizana kileleni zile tatu kila moja ipo mawindoni ikilisaka taji ambalo lipo mikononi mwa Yanga inayopambana kulitetea. Vita hiyo ya kusaka ubabe wa mashindano hayo imekuwa ikiibua mbinu na wakati mwingine kupanga ujanja wa ndani na nje ya uwanja, ambapo Simba,…