
Uwindaji wa Kitalii Kuiingizia Tanzania Bil2.5 – Global Publishers
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kuingiza jumla ya Dola za Kimarekani 968,000 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 2.5 kama ada ya vitalu vya uwindaji wa kitalii kwa mwaka bila mapato mengine. Hayo yamesemwa leo Februari 21,2025 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) wakati wa hafla…