
Hamas yaikabidhi Israel mabaki halisi ya Shiri Bibas, familia yathibitisha
Tel Aviv. Familia ya Bibas kutoka Israeli imethibitisha kuwa mabaki ya Shiri Bibas yamerejeshwa na Hamas, siku moja baada ya kudai kuwa kundi hilo lilikuwa limekabidhi mwili ambao siyo wa mpendwa wao. Jana, Ijumaa, Hamas ilikabidhi mabaki ya Bibas baada ya utambulisho wa awali uliofanyika vibaya na kusababisha hasira miongoni mwa raia na viongozi wa…