
Kesi ACT: Herufi moja kwenye jina ilivyomgharimu shahidi mahakamani
Kigoma. Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imekataa kupokea fomu za matokeo ya uchaguzi wa wajumbe wa Mtaa wa Busomero, Kata ya Kasimbu iliyopo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji kuwa kielelezo cha ushahidi katika shauri la uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa huo kutokana na mkanganyiko wa jina la shahidi. Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo jana Ijumaa,…