JOKATE AONGOZA MAELFU YA VIJANA KOROGWE.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) ameongoza Maelfu ya Vijana Korogwe katika Matembezi ya Amani ya maandalizi ya Mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anayetarajia kuanza Ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025….

Read More

WAZIRI WA AFYA AKAGUA MIUNDOMBINU,HUDUMA ZINAZOTOLEWA HOSPITALI YA HALMASHAURI WILAYA YA YA HANDENI

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho Februari 23, 2025 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Miongoni mwa wodi alizotembelea na…

Read More

WANANCHI MNAOTAPELIWA KUPITIA MTANDAO YA SIMU TOENI TAARIFA KWA MAMLAKA HUSIKA-WAZIRI SILAA

Na Pamela Mollel,Arusha Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya habari,Jerry Silaa amewataka wananchi wanaotapelewa kwa njia ya mitandao ya simu kutoa taarifaa katika mamlaka husika ili hatua kali zaidi zichukuliwe ili kukomesha utapeli huo Alitoa rai hiyo jijini Arusha Februari 21,2025 katika mkutano maalumu na waandishi wa habari kuhusu kampeni kabambe ya “SITAPELIKI “inayolenga kutoa…

Read More

RISING STAR FC NA KAMILI GADO FC ZAPEWA JEZI

KAMA kawaida leo hii ni siku nyingine tena ambapo wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet walifunga safari hadi Kawe kwaajili ya kutoa vifaa vya michezo kama jezi kuzisapoti timu za Rsing Star na Kamili Gado. Kampuni hiyo imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Rising Star FC na timu ya Kamili Gado. Msaada huu…

Read More

SERIKALI YAONGEZA MAFUNZO KWA WALIMU WA SAYANSI NA HISABATI, KUPUNGUZA UHABA WA WATAALAM

Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. Ofisa Elimu Mkoa wa Pwani, Jimmy Nkwamu akizungumza na walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati, wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa walimu hao yanayofanyika wilayani Bagamoyo katika Shule ya Sekondari Bagamoyo. Na Mwandishi wetu, Bagamoyo SERIKALI kupitia Wizara ya…

Read More

Jinsi misitu inavyoweza kuondoa hasira za wanandoa

Dar es Salaam. Dunia ya sasa inashuhudia matumizi makubwa ya teknolojia na kazi za ofisini, hali inayowafanya watu wengi kukosa muda wa kufurahia utulivu wa mazingira ya asili. Watu wengi wanakumbana na changamoto za kiakili na kimwili kutokana na mzigo wa kazi na mafadhaiko ya kila siku. Hata hivyo, mazingira ya asili, kama vile misitu…

Read More

DARAJA LA MNGAZI KUUNGANISHA KATA ZA MNGAZI NA SINGISA

Morogoro Kufuatia kero ya muda mrefu ya kutokuwa na kivuko cha uhakika katika mto Mngazi wananchi wa kata za Singisa na Mngazi, wameishukuru serikali kupitia TARURA kwa kuwaondolea kero hiyo kwa kuwajengea daraja la kudumu. Daraja hilo lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Mngazi- Singisa linaunganisha kata za Mngazi na Singisa katika halmashauri…

Read More

Mechi tatu zamshtua Mkongomani Tabora United

KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amesema ana kazi kubwa ya kufanya katika michezo ya mzunguko huu wa pili, baada ya kutoka sare ya bao 1-1, ugenini juzi dhidi ya Tanzania Prisons na kufikisha dakika 270 bila ya ushindi. Kauli ya kocha huyo inajiri baada ya timu hiyo kufikisha sare ya tatu mfululizo tangu…

Read More