
NCAA, kupeleka Wanawake 800 kutalii Ngorongoro, kuunga juhudi za Rais samia kutangaza utalii
Na Seif Mangwangi,Arusha ZAIDI ya wanawake 800 wanatarajia kutembelea Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), ikiwa ni katika kuelekea kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, 8 Machi 2025, ambapo Kitaifa itafanyika Jijini Arusha. Imeelezwa kuwa lengo la kutembelea hifadhi hiyo mbali ya kujionea vivutio vingi vilivyoko katika hifadhi hiyo pia ni kujionea…