
MATIVILA AMTAKA MKANDARASI ANAYEJENGA BARABARA ZA TACTIC MKOANI MOROGORO KUKAMILISHA KAZI NDANI YA MIEZI MITATU
Morogoro Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila amemtaka Mkandarasi M/s Jiangxi GEO Engineering Group anayejenga barabara ya Kihonda – VETA yenye urefu wa Km 12.85 kwa kiwango cha lami Manispaa ya Morogoro mkoani Morogoro kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha ujenzi…